#Sirinisisi: Hii ni Movement ya kuchukua control na tunaichukua leo! Tunaanza mahali tuko ata kama ni padogo. Change na Development ni sisi! Kama si sisi ni nani?
From spectators to decision makers. Dagoretti South tunachange narrative completely. Hii ni movement ya watu, by watu, for watu.
Kila decision inafaa kutoka kwa watu, kutoka kwetu, Si kutoka kwa office za a few people. Dagoretti South tuko na solutions zetu – this time wataskia!
Tuko tired ya kuwatch politics kama ni movie na kuona the same faces all our lives. This Time tunaingia stage na Kagwe kudirect story yetu.
Tumechoka kuwa props za campaign posters na violence! Youth tuko na solutions, energy, na vision. This time we are going for it.
Real stories, real impact. Watch how community-driven solutions are changing lives across Dagoretti South, one conversation at a time.
Kagwe is the director of Reloid Initiative, created to help Kenyans recover lost documents like IDs and Passports. Click to view.
Kagwe empowers business people through direct consultation on launch, growth and scale of businesses.
Kagwe launched a Digital Skill Building Oppportunities Referral Hub for youths to learn and get digital jobs, which are the future.
Listen to real people share their experiences. These aren't campaign testimonials – these are authentic voices from our community.
"Kagwe alituskiza bila kutushow mambo mingi. Alikuja, akaona challenges zetu, na akaanza kuwork on solutions immediately."
"Nilikuwa na biz idea ya digital platform. Kagwe akaniweka kwa program ya business incubator. Sasa niko na knowledge ya how to start."
"For the first time, nimeona youth kama mimi akona nguvu ya kuvie. Mi nasupport Kagwe full force."
"Kagwe amefanya nikaamini I can also do it. Haijalishi situation niko sahii. Niko encouraged mbaya."
"I like that Kagwe advocates for free education rather than people always begging leaders for bursaries. True leadership!"
"Kagwe organized training za business skills kwa mama groups. Sasa tunajua kurun proper businesses, not just kuuza tu."